Videoklip: Vanessa Mdee - Niroge

Text piesne

Raha ya nyumba mwanaume
Wacha nikutunze
Nyumba yetu tuipambee
inRead invented by Teads

Hapo nyuma tulishindiaga mabwende, karanga na makande
Ugali dona sembe
Usinune kwa maneno ya majirani wanoko
Hawaishi longo longo
Ni maneno kama viroboto wanakesha wakiomba unichapage mkong’oto
Jamanii sielewi
Baby you are
Ukimuona furaha Tele moyoni
Nkimuona tabasamu usoni ×2
Naomba muniroge Naomba muniroge
Kwani mapenzi matamu ×2
Sikusifii we mwanaume nguzo
Ulishndaga vikwazo tangu mwanzo
Ulipambna na wenye nazoo
Ili niwe Mali yako

Leo kula vyako
You are my dreams in my life hata mie moyoni we ndio unanifaa
Usinune kwa maneno ya majirani wanoko
Hawaishi longo longo
Ni maneno kama viroboto wanakesha wakiomba unichapage mkong’oto
Jamanii sielewi
Baby you are
Ukimuona furaha Tele moyoni
Nkimuona tabasamu usoni ×2
Naomba muniroge Naomba muniroge ×2
Kwani mapenzi matamu ×2
To the left to the right(spending my life... kwani mapenzi matamu)
Ukimuona furaha Tele moyoni
Nkimuona tabasamu usoni ×2
Naomba muniroge Naomba muniroge ×2
Kwani mapenzi matamu ×2